- Complete your personal information using your valid NIDA Number.
- Add all your academic qualifications before applying for any job.
-
Upload only PDF documents:
- Application Letter (Maximum 500 KB)
- Curriculum Vitae (CV) (Maximum 500 KB)
- Academic Certificates (Maximum 3 MB each)
- Transcripts are required for Diploma and Degree qualifications.
- Ensure all information provided is accurate and matches your uploaded documents.
- You may apply only for positions that match your academic qualifications.
- An applicant can submit only one application for each advertised job.
- Applications submitted after the advertised deadline will not be accepted.
- Review your application carefully before submitting. Once submitted, changes may not be allowed.
MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR II) (1 Posts)
Job Description
Kuandaa mipango na makisio ya gharama za ujenzi na zabuni (bill of quantities);
Kukagua na kutathmini kazi miradi mbalimbali inayoendelea kwa ajili ya malipo;
Kukusanya takwimu za bei za vifaa vya ujenzi kwa ajili ya miradi mbalimbali;
Kuandaa na kutathmini gharama za kazi za ziada zinapotokea (Valuation of Variations);
Kuandaa mahitaji ya miradi ya ujenzi (Project Resources); na
Kufanya kazi zingine atakayopangiwa na msimamizi wake kulingana na kada yake.
Qualifications
N/A
MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI
Waombaji wote wanatakiwa kuwa na sifa za jumla kama ifuatavyo:
- Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 35.
- Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
- Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kuzaliwa, kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho.
- “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of Results”, na Hati za Matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
- Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi, wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
- Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi ya kujitolea iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu.
Anuani ya Barua:
Mkurugenzi Mkuu,
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),
Mtaa wa Regent, Mikocheni,
S. L. P. 63154,
Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu,
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),
Mtaa wa Regent, Mikocheni,
S. L. P. 63154,
Dar es Salaam.
Job Summary
- Deadline: July 08, 2026
- Positions: 1