AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (1 Posts)

Job Description

  1. Kutayarisha gharama za uendeshaji wa usafiri kwa ajili ya kusaidia kutoa maamuzi.

  2. Kuhakikisha kuwa takwimu na kumbukumbu zinazohusu vyombo vya usafiri pamoja na mitandao yake zinatunzwa vyema na kwa usahihi. 

  3. Kuandaa takwimu zinazohusu maendeleo ya ukuaji wa sekta ya usafirishaji, na kuwsilisha kwa watumiaji ndani na nje ya nchi.

  4. Kukusanya takwimu za usafirishaji nchini. 

  5. Kukadiria na kushauri juu ya utendaji wa miradi mbalimbali ya sekta ya usafirishaji. 

  6. Kutekeleza majukumu mengine yahusuyo sekta ya usafirishaji. 

Qualifications

Mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Usafirishaji kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Job Summary
  • Deadline: July 08, 2026
  • Positions: 1