AFISA RASILIMALI WATU II (1 Posts)
Job Description
Kutunza Kumbukumbu sahihi za watumishi wote katika Taasisi.
Kutafsiri na kushughulikia utekelezaji wa miundo ya utumishi;
Kutafiti, kuchanganua na kukadiria idadi ya watumishi wanaohitaji mafunzo;
Kuandaa na kupanga mipango ya mafunzo ya muda mfupi na mrefu;
Kukadiria na kupanga mahitaji ya vifaa vya mafunzo kwa kushirikiana na vyuo vilivyopo; na
Kukusanya, kuchambua na kupanga takwimu na kumbukumbu zote zinazohusu mipango ya watumishi.
Qualifications
Mwenye Shahada ya kwanza ya Sayansi Jamii au Sanaa kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo:- Menejimenti ya Rasilimali Watu (Human Resources Management) au Mipango ya watumishi (Manpower Planning), Elimu ya Jamii (Sociology) na Utawala na Uongozi (Public Administration) na wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
Job Summary
- Deadline: July 08, 2026
- Positions: 1