AFISA HESABU II (1 Posts)

Job Description

  1. Kushiriki kuandaa taarifa ya mapato na matumizi; 

  2. Kushiriki kuandaa taarifa za maduhuli;

  3. Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha; 

  4. Kuandaa taarifa mbalimbali za fedha;

  5. Kundika hati za malipo na hati za mapokezi; 

  6. Kutunza daftari za amana;

  7. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi

Qualifications

Shahada au Stashahada ya juu katika Uhasibu, Fedha, Usimamizi wa Biashara/Uchumi akiwa na utaalamu wa Uhasibu au Fedha au vyeti vinavyolingana kutoka Taasisi zinazotambulika au Cheti cha Kati (Moduli D) kinachotolewa na NBA.

Job Summary
  • Deadline: July 08, 2026
  • Positions: 1