AFISA UNUNUZI II (1 Posts)
Job Description
Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (Schedule of Requirements);
Kuandaa utaratibu wa upokezi wa vifaa;
Kukusanya na kutunza takwimu za upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa;
Kusimamia upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa
Kubuni mfumo wa uwekaji na utunzaji wa vifaa ghalani
Kuandaa taarifa mbalimbali za vifaa;
Kuandaa hati za kupokelea vifaa;
Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
Qualifications
Shahada/Stashahada ya Juu ya Ununuzi/Ugavi kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali au wenye Professional Level III inayotolewa na Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi nchini.
Job Summary
- Deadline: July 08, 2026
- Positions: 1