MTAALAMU WA MAABARA II (2 Posts)
Job Description
Kushughulikia sampuli kwa ajili ya vipimo vya maabara.;
Kuandaa na kupima sampuli.
Kuchambua na kufuatilia matokeo ya vipimo na mwelekeo yake.
Kuandaa miongozo na kanuni za maabara.
Kutoa ushauri wa kiufundi kuhusu masuala yanayohusiana na maabara.
Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
Qualifications
Shahada ya Chuo Kikuu katika Sayansi za Maabara, Baolojia, Kemia, Fizikia au Sayansi kama Sayansi ya Mazingira, Bayoteknolojia, Teknolojia ya Mazingira, Uchunguzi wa Uchafuzi na Udhibiti, Usindikaji wa Kemikali au fani nyingine inayohusiana kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali.
Job Summary
- Deadline: July 08, 2026
- Positions: 2