MTAKWIMU II (1 Posts)
Job Description
Kubuni na kuendeleza mfumo wa kukusanya na kuratibu takwimu;
Kutengeneza utaratibu wa kukusanya takwimu;
Kukusanya, kuchambua na kuwasilisha takwimu kwa wadau;
Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
Qualifications
Shahada ya Chuo Kikuu katika fani ya Takwimu, Hisabati au sifa nyingine inayohusiana kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali.
Job Summary
- Deadline: July 08, 2026
- Positions: 1