NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA (INTERNSHIP)
13 Openings
MHANDISI MAZINGIRA DARAJA LA II
Shahada ya Sayansi (BSc) katika Uhandisi wa Mazingira, Uhandisi wa Mawasiliano, Uhandisi wa Viwanda, Nishati, Uhandisi wa Petroli, Uhandisi …
Apply by: Jul 08, 2026
AFISA MAHUSIANO NA MAWASILIANO II
Shahada ya Chuo Kikuu katika Mahusiano ya Umma, Uandishi wa Habari, Mawasiliano ya Umma, Mahusiano ya Kimataifa au Vyeti …
Apply by: Jul 08, 2026
AFISA HESABU II
Shahada au Stashahada ya juu katika Uhasibu, Fedha, Usimamizi wa Biashara/Uchumi akiwa na utaalamu wa Uhasibu au Fedha au …
Apply by: Jul 08, 2026
MTAKWIMU II
Shahada ya Chuo Kikuu katika fani ya Takwimu, Hisabati au sifa nyingine inayohusiana kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali.
Apply by: Jul 08, 2026
AFISA UNUNUZI II
Shahada/Stashahada ya Juu ya Ununuzi/Ugavi kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali au wenye Professional Level III inayotolewa na Bodi …
Apply by: Jul 08, 2026
AFISA RASILIMALI WATU II
Mwenye Shahada ya kwanza ya Sayansi Jamii au Sanaa kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (major) …
Apply by: Jul 08, 2026
AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II
Mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Usafirishaji kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Apply by: Jul 08, 2026
AFISA MIPANGO DARAJA II
Mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Mipango kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (Major) katika mojawapo ya fani zifuatazo; …
Apply by: Jul 08, 2026
MTAALAMU WA MAABARA II
Shahada ya Chuo Kikuu katika Sayansi za Maabara, Baolojia, Kemia, Fizikia au Sayansi kama Sayansi ya Mazingira, Bayoteknolojia, Teknolojia …
Apply by: Jul 08, 2026
AFISA MAZINGIRA II
Shahada ya kwanza katika Sayansi na Usimamizi wa Mazingira, Uhandisi wa Kemikali na Uchakataji wake, Uhandisi wa …
Apply by: Jul 08, 2026